Saturday, March 29, 2014

Video: Manager wa Lil Wayne asema album ya Cater V haitatoka May 5th

Kama unakumbuka vizuri nilishawahi kureipoti kuwepo kwa tetesi za kudondoka kwa album ya Lil Wayne mwezi wa tano, lakini katika moja yainterview aliyoifanya Manager wa Lil Wayme Cortez Bryant amezima tetesi zilizokuwa zikidai kuwepo sokoni kwa album ya Lil Wayne Tha Carter V ikifika mwezi wa tano.