Saturday, March 29, 2014

Brand New Single: Kakopy Kapaste - Menina

Mwanadadiva ambae alionyesha umahiri mkubwa katika upande wa kucheza katika stage ya fiesta ikiwa ni mara yake ya kwanza mwaka 2013, amedondosha pini lake jipya "Kakopy Kapaste" chini ya production ya Mensen Selector ..Fanya kusikiliza hapa