Saturday, March 29, 2014

Download After Jmos ft G faya Batoo & Ordinally - Fire

Bofya HAPA kusikiliza wimbo wa AfterJmos akiwa amemshirikisha Gfaya Faya, Batoo pamoja na Ordinally wa Jambo Squad, ngoma ni beat toka Grandpa records Kenya na vocals pande za Noizmekah Studios Arusha na inakwenda kwa jina "Fire"