Saturday, March 29, 2014

Rapper/ Pastor Mase: Waumini wa kanisa lake wamchana wadai anatembea na shetani

Baadhi ya waumini wengine wameiambia TMZ kuwa Mase anaishi maisha ya aina mbili, huku akitumia muda mwingi studio na ma-hardcore Rapper kuliko kanisani.kitu ambacho kimewafanya waumini wengine kuudhiwa nae ni pamoja na kuendelea kwake kuhubiri kila kukicha kuhusu fadhila za ndoa licha yakuwepo kwa  mtafaruku katika ndoa yake mwenyewe na kushindwa ku-adress.
kumekuwa na maneno kuhusu waumini wake kukataa kufadhili kanisa lake hilo, jinsi ambavyo vitu vimeendelea kumkalia vibaya Mase 

There's talk now about refusing to fund the church ... that's how bad things have become.
Na kitu kingine kipya cha kuwaudhi waumini hao, Mase ameshirikishwa katika single mpya "Tricky Situation"  inayohusisha mwanaume anaejisifia kumgonga mwanamke ambae alishakuwa engaged.