Bonyeza HAPAkudownload
Tuesday, April 8, 2014
(Coming Soon) Young Kacha Ft. Walter Chilambo - I Believe One Day
Baada ya kutoa remix ya dear gambe na kupiga kiki ndefu na kubwa..pia akaja kutoa wimbo mkali na mkubwa TRAVELLER akimshirikisha kaka yake wa damu DARASA..pia tena akuishia apo akaja kutoa wimbo mwingine wa taifa uliomfanya ajulikane zaidi na zaidi BORA BABA ANGEKUWA MBUNGE, ambao wimbo huo pia ulimuwezesha kumpa wadhamini wa muziki wake pamoja na wadhamini ambao walisimamia mavazi yanayoenda kwa jina la wimbo huo <bora baba angekuwa mbunge> sasa bwana mdogo huyo ambae anawaumiza sana vichwa ma Young Rappers wenzie kama Young Killer na Young Dee, ameamua kuja na kibao kingine cha taifa akimshirikisha WALTER CHILAMBO..WImbo una kwenda kwa jina la I BELIEVE ONE DAY, na siku si nyingi utakuwa umetoka..maana kubwa na kwanini wimbo unaitwa ivyo, ngoja tuungoje afu tutaelewa.......
Monday, April 7, 2014
Birdman amzawadiwa Justin Bieber gari aina ya Buggati.

Birdman bosi wa YMCMB amempa smile msanii mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa kumpa zawadi ya gari lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.9 aina ya Bugatti Veyron 16.4.
Justin Bieber hakusita ku-share furaha yake baada ya ku-post picha ya gari hilo jekundu kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika,”Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity”
Saturday, April 5, 2014
Download Illumination - Johny Remix
"Johny" kutoka kwa Illumination fanya uisikilize, ni Remix ya ngoma flani toka Nigeria so fanya yako Bonyeza HAPA ku Download
Download Timbulo ft Rich Mavoko - Niende Zangu

Singer Name;-Timbulo ft Mavoko Rich
Song Name:-Niende Zangu
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour,
Studio:- Mazuu records
Bonyeza / Click HAPA kudownload
Song Name:-Niende Zangu
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour,
Studio:- Mazuu records
Bonyeza / Click HAPA kudownload
Friday, April 4, 2014
Thursday, April 3, 2014
NEW VIDEO: SHEYMAN FT. FLAVOUR - SAMPUWA
From the stables of Phat Base Entertainment comes this crystal clear video by their flagship artist Sheyman featuring the king of modern Highlife music Flavour.
Sheyman did a smooth job on this video "Sampuwa" with a brilliant blend of highlife tune from the one and only Flavour N'Abania. This visuals was shot and directed by Molotov Cocktail TV in a very serene location in South Africa with lots of beautiful ladies showing the African beauty. Sampuwa is the kind of tune that will keep you on feet as you "Sampuwa and sample your waist".
FLAVOUR - BLACK IS BEAUTIFUL (Official Video)
Flavour N'abania has released his latest video ‘Black Is Beautiful’ off his album ‘Blessed’. Directed by Trademark Pictures, the video showcases a host of beautiful black women, all from different walks of life, posing with happiness as Flavour captures them on his camera lenses.
From the stables of 2Nite Enter-10-Ment, watch and enjoy ‘Black Is Beautiful’
From the stables of 2Nite Enter-10-Ment, watch and enjoy ‘Black Is Beautiful’
Download Z-Anto - Ukipendwa Ringa
Singer Name;Z-anto
Song Name:Ukipendwa Ringa
Country; Tanzania
Genre; Bongo Flavour,
Studio: Mazuu records
Bonyeza HAPA ku Download
Song Name:Ukipendwa Ringa
Country; Tanzania
Genre; Bongo Flavour,
Studio: Mazuu records
Bonyeza HAPA ku Download
Wednesday, April 2, 2014
Subscribe to:
Comments (Atom)














.jpg)

